Prince Austin - Ita Waiter (feat. D-Man)

PR UNDRSCR
Oya D-Man
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Madem wametingika, viuno wanakatika
Ita waiter (Huh? Uh?)
Cheki PR
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Za Madem zimeshika, mahaga wanatingiza
Ita waiter (Ah, ah, ah, ah)
Nipe kalamu nipe karatasi
Tulia basi
Vile nanyorosha niite pasi
Sikiza basi
Leta vurugu ushikwe mashati
Tulia basi
Vile nafunza niite kingangi
Sikiza basi
Watu ndio saba
Flow kama waba
Yetu ni ya dhahabu
Yako ni ya shaba
Shuka me napanda
Miradi mi napanga
Me ndo mzito
Design ya nanga
Lugha ka watanga
Chochote me namanga
Wacha makelele
Pokea mbata
Yangu ni ya UNDRSCR
Yako ni ya underground
Kama Timmy haitoshi
Kama khali na Cashy
Naleta rhymes moto nawaangushia verses
Najenga tu ma biceps
Najenga tu ma triceps
Ingia kwenye ring nikuchafulie mindset
Naandika nachora napima nasoma
Navunja naunda namada nasonga
Naandika naimba na bado nasoma
We mcee unakalia ngoma
Imma flip it
Kill it
Imma tilt it
English
Make me sick
Codeine it
Take your girl
Hit it
I hit it
I hit it
I hit it
Yeah man I swear man I suffer from realness
Got the crew with me
And we is the illest
Pack of gorillas
Killers
7 For real
And we back in the building
Agenda is winning
We wilding and screaming
We tossing and turning
Tulia basi
Ni wale vijana wa t-squares
Korra westy alafu liddos
Ukiniona take a picture
Royal army
Cheki PR
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Za Madem zimeshika, mahaga wanatingiza
Ita waiter (Ah, ah, ah, ah)
Oya D-Man
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Madem wametingika, viuno wanakatika
Ita waiter (Huh? Uh?)
Chupa, chupa
Nakunyang'anya mresh bila pupa
Nilisare za ku-date, ni na through pass
Usilete vurugu babaa
Nime-come na mtaa
Yaani watu kadhaa
Mrembo anishow meno balaa eh
Kwenye backseat
Kutafuna bila jokes, mollis
Footprints Kwa viti
Kukuwa freaky, sidai kuwa famous
Ni ganji nasaka
Ninuke fiti, nidunge suti
Tumeshaseti mamboga
Vako tomato
Ka hauradi
Umbleina ndio zako
Jina kwa true crew ni D-Man
Ka hunijui, niite Waite
Kwa giza nipishe
Perfection is just an illusion
Me ni mkali juu ya mic, who knew?
Nimekuja for the crown
Nimetoka kule down
Kijana wa giza sitakuficha
Cheza chini ama utapigwa tisa
Acha ninyamaze nisichome picha
I rap, I paint, I draw, I do them all
Gifted individual
Ukibonga boggie hiyo ni physical
Me si m-typical
Msupa wako alishageuka booty call
Oya D-Man
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Madem wametingika, viuno wanakatika
Ita waiter (Huh? Uh?)
Cheki PR
Mzinga imekatika na bado sijatingika
Ita waiter
Sijaridhika
Za Madem zimeshika, mahaga wanatingiza
Ita waiter (Ah, ah, ah, ah)
PR UNDRSCR

Written by:
Austin Opiyo, Kariuki Waite

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Prince Austin

View Profile