Prince Austin - Royals (feat. D-Man)

Yoh!
Beat ya Austo
Heshima, heshima, heshima
Okay
Cheki (PR)

Nimezaliwa Jeri (UNDRSCR)
Ka hujulikani, kusanywa vi-deadly
Me ni mwanafunzi wa genge, Klepto na Issa
Nikipewa mic, huwezi nishika
Usilete beef ka huwezi kupika
Nina NT-cutter, huwezi nitisha
Na ka hupigi arch, hiyo hujashika, okay

Cheki nikichafua CV kwa beat
Niko juu ya vitu, nanuka tu heat
Nikibonga juu ya life, wanadhani na-cheat
Si ni wale ma-vijana tuna t-square na beats
Wakicheki ni Waite wanajua ni heat
Gode ina-doze hatutaki udi
Kabla ya makali tunapiga mbuzi
Me hudishi kila kitu sikuwagi choosy
Don't get it wrong nina bibi na mtoto
Me sio celeb so sipendangi ma-photo
Kuja polepole, usikujange na moto
Unanunua mzinga hujanilipa ata mkopo
Okay, chill out
Wacha nicheki hizo mikono
Rap naipiga juu ya mbosho
Nimeroga hadi naskia joto
Big up to Mr. UNDRSCR
Max ni wetu na jabali
Suitcase, money matters
4 twenty, huwezi nipata
Cloud 9, nishapanda
Ngoma ya kwanza, lakini imedata
Me na Ngesh, tuko team shaka
We Royal nigga!

Royal!
Nigga!
Nigga!

Mirror mirror on the wall
UNDRSCR about to blow, oh
I see them coming
I'm looking through my scope, oh no
I'm in my zone
A red dot on his nose
And if he's tripping
That nigga getting smoke

UNDRSCR nimetoa viatu
Nikanyage beat na nikanyage watu
Nikuje na heat na nipite na watu
Wataniona kwenye beat
Watadhani pacho, oh
Acha nifunge macho
Mumeota sana,amkeni Kwa ndoto
Flow ni Kali bana mumeingizia joto
Na hiyo mifuko yenu, msoto

Oh my Lord, Oh my God
UNDRSCR on a roll
3 stripes, how I roll
Na hiyo stash, usi-roll
Kuna Kiko, kuna jiko
Na zikishika sana, kuna mwiko
Niko na sembe na we una beef
Ngoja kijiko

Pesa sabuni ya roho ndio maana wengi wenu hamna form
Pesa sabuni ya roho hujaoga usitokee hii form
Pesa sabuni ya roho wengi wenu hamujalipa your loans
Pesa sabuni ya roho na munajua UNDRSCR ni Royal!

Mirror mirror on the wall
UNDRSCR about to blow, oh
I see them coming
I'm looking through my scope, oh no
I'm in my zone
A red dot on his nose
And if he's tripping
That nigga getting smoke

UNDRSCR

Written by:
Austin Opiyo, Kariuki Waite

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Prince Austin

View Profile