Brian Simba - Snake (feat. Chidi Beenz)

Singida Dodoma
Man, wish ungemuona!
Met her Jozi nnaposoma Kozi (Course)
Sura, Body, Ngozi yake noma
Girl, natoka Daressalaam
And they all say that ipo Wastani
Ila She wants some
And I told her all about the Bapa Bottles
And she really hopes that ata pop one
Dah
Mpaka nafanya madancehall maana baby anamkubali popcaan
Na kina burna boy
Na kina Gyptian
Kama Rasta,
I had to ask her
Hiyo nanilii
Inatoshaje kwa suruali
Ndo maana maUncle wanahonga mali
Mkono kiunoni kila mahali
Lazma nilinde mali.. mhuni sina habari

Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema

Zero mbili kama burger yaani wowowo
Chini miguu ya kichagaa hilo wowowo
Kichuguu akikanyaga yaani wowowo
Nalinywea sana Lager yaani wowowo
Cmon
Fresh from school
Wings redbull
Tings like Timber
Timbaland Maguu
Ilala tunaita kitu vimba
Kitu kitunGuu
Ila kinatia Mimba
Ukipenda makuu

Sexy sexy Shakira
Me Vocal bound Killer
Ting a ling a ling
Kitandani sitoki bila
Beautiful queen akizungushaga Dera
Ronaldinho scene akichezaga mpira

Mama toto akitingisha, tingisha pampam
Change unarudisha
Tapika utam tam
Anavyobadilika
Leta masham sham
Logaaa me kabisa
Chizi kwa zamu zamu

Move your body like snake ma
Washangae ka' Cinema
Nikiomba usijenitema
Napenda unavyotetema

Nikampeleka Arachuga
Halafu Zenji
Mh akichomoa ameua bendi
Mshenzi. naonesha maufundi Mengi
Agome kurudi kwao Ka Dully na Baby Candy

Halafu ghetto lenyewe la kiGangsta tu
Njaa inakata kwa mawazo ya pesa
Juu ya kitanda tunafanya kitu inanesa
Hata sielewi jinsi nlivomteka duu

Written by:
Brian Simba, Rashidi Mwikilo

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Brian Simba

View Profile