Brian Simba - Uncle

Ujue maUncle tunapendaga mawezere
Walionazo wanataka wenye chenchede
Its just the truth
I dont wanna be insensitive
Ila Mpunga ndo unafanya mambo yote yawezekane
Kwahiyo daily nazisaka hizo cash baby
Dili likitiki on to the next baby
Kwahiyo daily nazisaka hizo cash baby
Dili likitiki on to the... on to the next, yes
Verse mosi
Ndoto za kibosi
Mpepe konki
Alfajiri ndo uniondolee mikosi
Nimelelewa jua la utosi so sioni soo kufosi
Ukinizidi nguvu, uh, narudi na kikosi man!
Nimezingukwa, hulka
Nnaowaita broski
Sipendi actors
Nakataa wenye swaga za kigosi
Snapback kupunguza athari ya mionzi kwa utosi
Nafosi nitoke vipi daily kama bwana misosi
No, no sleep!
Daily nipo macho
Natafuta hela kidali niende kulala nacho
Ila picha kubwa ni balling
Kama Jadon Sancho
Wallet kama inakuambia Kubabababako
Na mamanzi wakali niwashike matako
Kama mwanaharakati utajijua kivyako
Ndoto bado ni mbinu za kuinua kipato
Toka kijacho... mpaka kidato... hadi sahivi

Written by:
Brian Simba

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Brian Simba

View Profile