Voice of Maasai and Msafiri Zawose - Tutafanyaje

Swahili
Verse 1
Yelele, yelele, hai hai X4
Nye magunene, hee heiya ×8
Inze gwe inze gwee,
Tutafanyaje,
Inze gwe inze gwe,
Tutaishije
Inze nayo yolochinga'anusa kuudomo
Mvua hakuna,
Mazao hakuna,
Miti hakuna,
Maji hakuna,
Ane inze yose magayo magayo
Ati lanje lanje lanje ×2,
Chants,
Ati lanje lanje lanje X2
Nubura ikutama,
Alu wanu wose wakukosa hamba gwagu za kutelechela wana,

Chants
Rap Verse 1
Mazingira jamani mazingira jamani ghigaila we
Ukame umetanda (tutafanyeje)
Miti imeipigwa panga
Tumekurupuka tukasahau anga
Hata neno moja la wahenga
Tutafanyaje?
Hakuna hewa safi, maji safi
Tumekwepa nishati safi
Eti miti cinimali Ghafi
aaaah wap kumbe ulafi
Sijui tutafanyaje hata nani aje
Mwenye power yakuuliza hii vp niaje niaje
Uoto wa asili tushaondoaga
Mvua tunaisubir kama kuku kutaga
(Sijui tutafanya nn?)
Shwari imebakia ndoto hali joto
Koo kavu moto
tumbo imejaa njaa msoto
Mrefu umbali kutafuta maji
Sijiui tugeuke badjaj tutumie wese na polenee gereji
Kwan maji sindo yetu geji
Tutafanyajeee,
Tutishijeee,
Ghigaila niliyene,
Mulume nayo kandeka ne,
Niliwene ghulila na wana
Ghugaya niliwene

Chants
Tutunze rasilimali,
Tuzitunze nazo zitutunze
Tuswauwe wanyama,
Maana hao ndio rasilimali yetu ya Tanzania,
Uzelenje chukugaila mledi gweee,
Agwenagwe baba uzelanje chikigaila mlendi malugalo makamu gali nyumba na nyumba bite kalilimile, hiye gweee

Chants
Rap Verse 2
Hii ni hasara
Yan zaidi kuikosa Ajira
Hata uvae dera
Ukisha ukata mpera ni hasara
Wala si masihara
Ziko nyingi hasara
ci ukame magonjwa hadi baa la njaa
Nishati mmbadala muhimu achana mkaa
Kuna umeme hadi bio gas
majiko ya kuni kiasi
Hutooona hewa nzuri wala mvuambalimbali
jua litakuwa khali
Amua kuwa wakwanza kuanza sauti kupaza
tena...
Panda mti kabla ya kukata mti
Tena panda hata kama hukati hadi
Tenna majumbani mpaka kando kando ya vyanzo vya maji
Tutafanyajeee,
Tutaishijeeee,

Chants
Heeeeeiya X4
Nyemagu nene ×4
Yelele yelele yelele haihai X4


English
Yelele, yelele, hai hai X 4
My people × 4
This world this world, what are we going to do?
This world this world, how will we live?
The world will turn on us with no rain, no crops, no trees, no water
The whole world is worried
We will see × 2

Chants
We will see × 2
Our heart is aching
Children lack food
there is no wood for cooking

Chants
The environment is dying X 2

Rap Verse 1
The air is polluted
Booths are full of charcoal firewood
So much drought (what shall we do??)
We have cut down all the trees
Without considering the consequences
We have forgotten all the words from ancestors
What will we do??
There is no clean water or clean air
We have refused the clean energy
Saying trees are for raw materials
Ooooh no, that is too much greed
I do not know what we will do or who will strongly stand to protect the vegetation
There is no sign of rainfall
(I don't know what we will do)

We are living a nightmare
There is too much sun, we are thirsty and working with an empty stomach
I wish I could use petrol like badjaj
How are we going to survive?
Let us come together,
I worry about myself
my husband has run away
And I am alone with all my worry and my children

Chants

We must take care of resources
They are priority
We should learn from the animals, our Tanzanian resources
We are worried and parents need to lead

Chants

Rap Verse 2
Our actions have more consequences than just unemployment
There will be hunger, disease
This ain't no joke people
We will be buried by drought
Let us use renewable energy
And forget about charcoal and the firewood
Be the first to stand for the change
Let us encourage reforestation and the maintenance of our water bodies
For our safety. RIGHT!!
How are we going to do it?
We will wait for you,

Chants Yes X4
My people I × 4
Yelele, yelele, hai hai X4

Written by:
JESSEY JANSEN

Publisher:
Lyrics © Songtrust Ave

Lyrics powered by Lyric Find

Voice of Maasai and Msafiri Zawose

View Profile
Tutafanyaje (feat. Msafiri Zawose) [Instrumental] - Single Tutafanyaje (feat. Msafiri Zawose) [Instrumental] - Single